Vitumbua vya kuku

Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6

Namna ya kutaarisha

1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...

5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida

Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..

asante sana kwa mara nyengine. kidogo sjaelewa, yale mayai yetu tunayaekea ndani ya hivi vitumbua, au wakati wa kuchoma yaani kama kwenye katless, nsaidie pliz nataka njaribu weekend
 
Pishi zuri sana. Kuku alikuwa na kg ngapi mpaka ukapata idadi hii ya vitumbua uliyoattach?? Na je mchuzi uliutumia wakati wa kusaga?
 
Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6

Namna ya kutaarisha

1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...

5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida

Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..
wanitamanisha weye
 
mkuu muungwana anafaidi kwelikweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom