md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
A
ha ha, mimi snail, na ww mwenzangu unaitwa nan?
tunapenda wangapi? mimi msipendi wala sijawai ... napenda mwenye afya ila sio kitambi...sipendi vyembamba pia...mwanaume lazima awe na mwili nienee huko sio nalalia chaga mie
Ukiwa na hela na ukawa na kitambi kama cha komba hakuna mwanamke atakayekukataa.
Wote watakusifia ni rijali.
Wewe ukianza kunenepa unaanza na tumbo ndio makalio, sasa kama unataka flat tummy, basi na masaburi yatakuwa flat.
Laana ya Ofa hyo lazima upate kitambi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hata mimi zamani niliamini mtu mwenye uwalaza ni msomi sana na iko pesa mingi na nikiona mwenye mvi kama Lowasa najuwa hapo hekima zimejaa kumbe wapi.
mmmh kaunga sio wote.. Wengine hatunaga bahati yakunenepa mpaka tumbo
Sikujua kama kunenepa tumbo ni bahati.
mmmh kaunga sio wote.. Wengine hatunaga bahati yakunenepa mpaka tumbo
wee.. Kuna wengine wanayapenda matumbo, hebu nenda pande zile za mlima kilimanjaro uone, kule vitambi ndio mpango mzima
Na ukijikondesha kwa diet, tumbo plus masaburi vinapungua ..
unakuta msichana mzuri
kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka
linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana
ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan
linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha
vitambiiii bwereeeeee
Mwanamke kitambi babuweee na hasa ukiwa nacho lol! Miye mume wangu anakipenda ati ndo sbb ninacho, nilianza mazoezi nikataka kupewa talaka
Kuna tatizo vikipungua vyote?
waiiiii ngachokaaa .... after all we are what we eat!
wacha nikale zangu mdudu mie
si unaniona full kunenepeana eti nijipunguze tenaWewe ukianza kunenepa unaanza na tumbo ndio makalio, sasa kama unataka flat tummy, basi na masaburi yatakuwa flat.
ukisema usikilize wawa opposite sex wetu utakufa mifupa mitupu ... nimechoka kujikondesha mweeenina miezi mitatu sijawai kunywa soda supu michemsho wala ujiKwa upande wangu sioni tatizo, lkn kwa wanaume wanaopenda big behinds inawapunguzia raha yao.
Recently nimekata 8 kilos so nina experience na cutting up some fats, maana l had to change the whole wardrobe. Sarawili zilizokuwa hazifungi sasa hivi zachea.