dullyhami
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 560
- 147
Mara nyingi sana, Watanganyika na viongozi wao huwabeza na kuwakebehi Wazanzibar kila wanapojaribu kuimarisha uhusiano sio wa kidiplomasia tu, bali pia uhusiano wa kindugu wa damu baina ya Zanzibar na Ufalme wa kiarabu wa Oman, ambao kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya utawala huo ambayo ilijulikanwa kama (Sultanate of Zanzibar), ni mambo mazuri tu ambayo ktk tawala za kisultani Zanzibar tulifaidika na hakuna anayepinga kwa hilo kuanzia mjini hadi vinijini, Unguja na Pemba pia,
Mara tuu baada ya Mapinduzi, bado Zanzibar tukaendelea kushirikiana kodiplomasia maana Mapinduzi ya Zanzibar yalilenga kubadili mfumo wa utawala sio kuleta na kuanzishwa chiki baina ya Wazanzibar wenye asili ya Oman (Af-arabia) na kila leo Oman ni mshirika Mkuu wa maendeleo ya Zanzibar.
Lakini upande mwengine jambo hilo limekuwa likiwaudhi na kuwakereketa Moyoni ndugu zetu wa Upande wa pili ( nchi jirani), huku wakiendeleza fitna na propaganda za kuwafitinisha Wazanzibar kupitia chama chao cha CCM, na wakiwakebehi kila wakati kwamba eti wao ndio walioleta kila balaa Zanzibar kiasi kwamba hata sheikh Karume aliyeongoza mapinduzi hajawahi kusema uongo huo, lakini la kushangaza zaidi ni kwamba viongozi hao hao wanaowabeza na kuwakebehi Wazanzibar wao ndio wamekuwa msatari wa mbele sasa kupiga magoti kwenye falme ile ile iliyowatesa na kuwadhulumu Wazanzibar kama wlivyoaminishwa, eti wanaomba misaaada huko... hii nayo ndio nini?
au ndio msemo wa Baniani....?