Vituko vya Watanganyika dhidi ya Zanzibar

dullyhami

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
560
147
Mara nyingi sana, Watanganyika na viongozi wao huwabeza na kuwakebehi Wazanzibar kila wanapojaribu kuimarisha uhusiano sio wa kidiplomasia tu, bali pia uhusiano wa kindugu wa damu baina ya Zanzibar na Ufalme wa kiarabu wa Oman, ambao kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya utawala huo ambayo ilijulikanwa kama (Sultanate of Zanzibar), ni mambo mazuri tu ambayo ktk tawala za kisultani Zanzibar tulifaidika na hakuna anayepinga kwa hilo kuanzia mjini hadi vinijini, Unguja na Pemba pia,
Mara tuu baada ya Mapinduzi, bado Zanzibar tukaendelea kushirikiana kodiplomasia maana Mapinduzi ya Zanzibar yalilenga kubadili mfumo wa utawala sio kuleta na kuanzishwa chiki baina ya Wazanzibar wenye asili ya Oman (Af-arabia) na kila leo Oman ni mshirika Mkuu wa maendeleo ya Zanzibar.

Lakini upande mwengine jambo hilo limekuwa likiwaudhi na kuwakereketa Moyoni ndugu zetu wa Upande wa pili ( nchi jirani), huku wakiendeleza fitna na propaganda za kuwafitinisha Wazanzibar kupitia chama chao cha CCM, na wakiwakebehi kila wakati kwamba eti wao ndio walioleta kila balaa Zanzibar kiasi kwamba hata sheikh Karume aliyeongoza mapinduzi hajawahi kusema uongo huo, lakini la kushangaza zaidi ni kwamba viongozi hao hao wanaowabeza na kuwakebehi Wazanzibar wao ndio wamekuwa msatari wa mbele sasa kupiga magoti kwenye falme ile ile iliyowatesa na kuwadhulumu Wazanzibar kama wlivyoaminishwa, eti wanaomba misaaada huko... hii nayo ndio nini?
au ndio msemo wa Baniani....?
 
Baniyani Mbaya.....
 
Attachments

  • 1401282049411.jpg
    1401282049411.jpg
    14 KB · Views: 486
Kitu kimoja ambacho ni UKWELI MCHUNGU ambao hawataki kua admit Wazanzibari ni kwamba, Zanzibar lilikuwa koloni la Oman. Wazanzibari walijikomboa kutoka kwenye ukoloni wa OMAN kwa kumwaga damu (call it Mapinduzi matukufu). Zanzibar sasa hivi ni koloni la Tanganyika. Lakini ajabu ni kwamba Wazanzibari wanataka mkoloni Tanganyika atowe koloni lake kwa Wazanzibari katika KISAHANI CHA DHAHABU. Historia ya dunia hii inatufundisha kwamba hakuna MKOLONI aliyewahi kutoa koloni lake kwa mtwana katika kisahani cha dhahabu. Wazanzibari inabidi mtambue huo ukweli na mkubali kusuka au kunyoa!
 
dullyami nitakujibu hivi,tatizo kubwa liko kwa viongozi wenu wenyewe kwa kukosa moja ushirikiano,mbili umoja,tatu kukumbatia posho zaidi kuliko ustawi wa Zanzibar na mwisho wamekosa uzalendo kwa Zanzibar yao.

Walaumuni viongozi wenu na muwaambie ukweli kwenye hilo.
 
Zanzibar inabidi iendelee kuwa koloni la Tanganyika, la sivyo itageuka kuwa kakisiwa ka kigaidi!
 
Kitu kimoja ambacho ni UKWELI MCHUNGU ambao hawataki kua admit Wazanzibari ni kwamba, Zanzibar lilikuwa koloni la Oman. Wazanzibari walijikomboa kutoka kwenye ukoloni wa OMAN kwa kumwaga damu (call it Mapinduzi matukufu). Zanzibar sasa hivi ni koloni la Tanganyika. Lakini ajabu ni kwamba Wazanzibari wanataka mkoloni Tanganyika atowe koloni lake kwa Wazanzibari katika KISAHANI CHA DHAHABU. Historia ya dunia hii inatufundisha kwamba hakuna MKOLONI aliyewahi kutoa koloni lake kwa mtwana katika kisahani cha dhahabu. Wazanzibari inabidi mtambue huo ukweli na mkubali kusuka au kunyoa!
zanzibar yalifanyika mapinduzi ya kuiondoa serikali iliyochaguliwa kwa kura ya waziri mkuu shamte.
 
Mara nyingi sana, Watanganyika na viongozi wao huwabeza na kuwakebehi Wazanzibar kila wanapojaribu kuimarisha uhusiano sio wa kidiplomasia tu, bali pia uhusiano wa kindugu wa damu baina ya Zanzibar na Ufalme wa kiarabu wa Oman, ambao kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya utawala huo ambayo ilijulikanwa kama (Sultanate of Zanzibar), ni mambo mazuri tu ambayo ktk tawala za kisultani Zanzibar tulifaidika na hakuna anayepinga kwa hilo kuanzia mjini hadi vinijini, Unguja na Pemba pia,
Mara tuu baada ya Mapinduzi, bado Zanzibar tukaendelea kushirikiana kodiplomasia maana Mapinduzi ya Zanzibar yalilenga kubadili mfumo wa utawala sio kuleta na kuanzishwa chiki baina ya Wazanzibar wenye asili ya Oman (Af-arabia) na kila leo Oman ni mshirika Mkuu wa maendeleo ya Zanzibar.

Lakini upande mwengine jambo hilo limekuwa likiwaudhi na kuwakereketa Moyoni ndugu zetu wa Upande wa pili ( nchi jirani), huku wakiendeleza fitna na propaganda za kuwafitinisha Wazanzibar kupitia chama chao cha CCM, na wakiwakebehi kila wakati kwamba eti wao ndio walioleta kila balaa Zanzibar kiasi kwamba hata sheikh Karume aliyeongoza mapinduzi hajawahi kusema uongo huo, lakini la kushangaza zaidi ni kwamba viongozi hao hao wanaowabeza na kuwakebehi Wazanzibar wao ndio wamekuwa msatari wa mbele sasa kupiga magoti kwenye falme ile ile iliyowatesa na kuwadhulumu Wazanzibar kama wlivyoaminishwa, eti wanaomba misaaada huko... hii nayo ndio nini?
au ndio msemo wa Baniani....?
Una uhakika kuwa wazanzibari wote waliufurahia utawala wa sultani wa Oman?

Pia siyo Oman pekee yenye uhusiano wa kidugu na kidamu na Zanzibar, bali hata Tanganyika uhusiano huo upo.Siyo wazanzibari wote wenye kujinasibisha kiudugu na Oman., mpo lakini siyo wote kama unavyojaribu kutuongopea.
 
Mara nyingi sana, Watanganyika na viongozi wao huwabeza na kuwakebehi Wazanzibar kila wanapojaribu kuimarisha uhusiano sio wa kidiplomasia tu, bali pia uhusiano wa kindugu wa damu baina ya Zanzibar na Ufalme wa kiarabu wa Oman, ambao kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya utawala huo ambayo ilijulikanwa kama (Sultanate of Zanzibar), ni mambo mazuri tu ambayo ktk tawala za kisultani Zanzibar tulifaidika na hakuna anayepinga kwa hilo kuanzia mjini hadi vinijini, Unguja na Pemba pia,
Mara tuu baada ya Mapinduzi, bado Zanzibar tukaendelea kushirikiana kodiplomasia maana Mapinduzi ya Zanzibar yalilenga kubadili mfumo wa utawala sio kuleta na kuanzishwa chiki baina ya Wazanzibar wenye asili ya Oman (Af-arabia) na kila leo Oman ni mshirika Mkuu wa maendeleo ya Zanzibar.

Lakini upande mwengine jambo hilo limekuwa likiwaudhi na kuwakereketa Moyoni ndugu zetu wa Upande wa pili ( nchi jirani), huku wakiendeleza fitna na propaganda za kuwafitinisha Wazanzibar kupitia chama chao cha CCM, na wakiwakebehi kila wakati kwamba eti wao ndio walioleta kila balaa Zanzibar kiasi kwamba hata sheikh Karume aliyeongoza mapinduzi hajawahi kusema uongo huo, lakini la kushangaza zaidi ni kwamba viongozi hao hao wanaowabeza na kuwakebehi Wazanzibar wao ndio wamekuwa msatari wa mbele sasa kupiga magoti kwenye falme ile ile iliyowatesa na kuwadhulumu Wazanzibar kama wlivyoaminishwa, eti wanaomba misaaada huko... hii nayo ndio nini?
au ndio msemo wa Baniani....?

Mbona mmeshaambiwa kuwa njia nyeupe bado munaendelea kulalamika?.
 
Mbona mmeshaambiwa kuwa njia nyeupe bado munaendelea kulawalalamikia watanganyika.
 
Back
Top Bottom