Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,779
- 107,357
😂😂😂😂Ila wanaume bana daah kazi ipo. Yaani hufanya vitu vya ajabu hadi unashangaa, ndipo kale kamsemo kanakosema "Mwanaume ana umri wa miaka 22 anaonekana ana miaka 15 alafu anafanya matendo ya watoto wenye 12 years" kanathibitika. Nimecheka sana asee.
Wajinga wanatoboa bomu
Wajinga wanatoboa bomu