Nimewahi kuhesabu idadi ya magari katika msafara wa First Lady Salma Kikwete yanafikia saba, hesabu madereva, wapambe wanaosubiri nk....hii nimeona kwa macho yangu
Rais wa Kwanza wa Zambia Keneth Kaunda anatembea na kitambaa cheupe ambacho huvuta mara nyingi..inasemekana kina dawa fulani ya kuvuta..........(siitaji)