Vituko vya Wakubwa...................

Rais wa vietnam alimualika ikulu waziri mkuu wa uingereza,kabla ya mazungumzo alimuuliza "do you speek english"
 
ulipiga chabo nini........imetulia sana hii sasa sijui kama hata swali lenyewe alilielewa au alikua na WAKALIMANI
Rais wa vietnam alimualika ikulu waziri mkuu wa uingereza,kabla ya mazungumzo alimuuliza "do you speek english"
 
Rai JK ndiye Rais wa kwanza kupata mtoto akiwa Ikulu...unalijua hili?
:confused2::confused2:Mmmmh atakuwa ni wa ngapi huyo???? Ni wa first.....dy au wa huku uraiani????:confused2: Hiyo kali.
 
Karume mtoto kuita wafuasi wa chama chake 'wenye vichwa vya samaki'
 
Naibu waziri huyu nani huyuuuu..................
Alitoa speach africa kusini kuwa ''tanzania is a union of tanganyika and zimbabwe''
akaongezea utumbo mwingine kudhirisha umahiri wake katika kiingereza.
 
Benard Membe aliwahi kumwakilisha Rais JK baada ya mh kuchomoa kwani aligundua kwamba ile sherehe lazima uvae vazi la Taifa ambalo ni SKETI NA BLAUZI...wanaojua nchi wanikumbushe hapa.................

scotland i think ndo kuna sketi na blauz
 
Rais Mstaafu Mwinyi Alichezea Makofi kwenye High table
 
Robert Mugabe ni rais pekee,ambaye awapo mkutanoni,huairisha anachohutubia na kuanza kulia nina njaa,leteni chakula hapa sasa hivi.
 
Rais Yoweri Museveni msafara wake unatembea na gari yenye choo kutokana na iachosemekana kusumbuliwa na kisukari hali inayomfanya afeli breki zake..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…