Vituko vya Wakubwa...................

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Niliwahi kushuhudia aliyekua Waziri Mkuu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasha Sigara kwenye Mwenge mara tu baada ya kuuwasha (nilimuona akihangaika kutafuta kkibiriti bila mafanikio akaona isiwe taabu)

Una kituko kingine cha mkubwa ulichowahi ona/simuliwa?
 
Robert Mugabe aliulizwa swali na waandshi lini ataaga watu bwake akawauliza na yeye....."where vare they going..."???
 
Mke wa aliyekua Rais wa Philipine Ferdinand Marcos alikua na viatu pea 480, yaani akivaa kila siku kipya kwa mwaka mzima bado vinabaki
 
Andrea Gromiko ndiye Rais pekee wa Urusi aliyeruhusiwa kuzaa watoto zaidi ya mmoja baada ya kubainika kwamba anatumia shoto
 
Rai JK ndiye Rais wa kwanza kupata mtoto akiwa Ikulu...unalijua hili?
 
Rais wa Irani aliwahi kususia dhifa ya Taifa Ikulu baada ya kugundua kwamba kuna wanawake wa bendi ya TOT ilihali alishatoa wito sherehe isiwe na wanawake
 
Benard Membe aliwahi kumwakilisha Rais JK baada ya mh kuchomoa kwani aligundua kwamba ile sherehe lazima uvae vazi la Taifa ambalo ni SKETI NA BLAUZI...wanaojua nchi wanikumbushe hapa.................
 
Mwandishi wa Rais Mwinyi Habib Hlahala aliwahi kukatwa na pangaboy la ndege ya Rais na kufariki hapo hapo wakati akipiga picha za matukio.............
 
Idadi ya Wake wa King Mswati sasa hivi inafikia sawa na umri wake.....................
 
Huwezi kuwa kiongozi England kama wewe sio Mungalikana, Huwezi kuwa kiongozi Ujerumani kama wewe sio Mlutheri, Huwezi kuwa Kiongozi Indonesia kama wewe sio Muislamu tena Shia? Itali huwezi kuchaguliwa kama wewe sio Mkatoliki...Ireland Kusini?......Kaskazini......? wap tena.....naikumbuka sana hii hotuba ya Mwl Nyerere kuhusu udini katika nchi yetu
 
Aliyekua Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa akiwa anatoka kuangalia sinema huku akiwa anaendesha baiskeli
 
yaani wee ziro kabisa unamdanganya nani sasa kama aliuwasha aliuwasha na maji si lazima alitumia kiberiti tafuta uongo mwingine
 
Mkuu umesahau uko jukwaa gani...............hujawahi kutumia kitu halafu ukasahau umeweka wapi?
yaani wee ziro kabisa unamdanganya nani sasa kama aliuwasha aliuwasha na maji si lazima alitumia kiberiti tafuta uongo mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…