Vituko vya uchaguzi

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
5
Msimamizi mmoja wa kituo kimoja cha uchaguzi alimchovya mkono mzima mmoja wa wapiga kura kwenye ule wino wa kuonyesha kuwa mtu amepiga kura badala ya kumchovya kidole tu!! Hii ilitokea baada ya kugundua kuwa mpiga kura huyo amepigia kura chama cha CHADEMA. Mpaka leo hii wino ule haujatoka mkononi mwa yule jamaa!!
 
Back
Top Bottom