mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,458 Reaction score 36,481 Nov 8, 2012 #41 Bujibuji said: Matokeo ya kuchagua SPIKA asiye na sifa. Kwenye katiba mpya, tutataka spika asiye mbunge, na achaguliwe na wananchi Click to expand... mkuu Bujibuji na asichaguliwe sababu ni mwanamke nakataa na kupinga kabisa kumpa mtu cheo ati kwa kuwa ni manamama......mtu apewe kazi anayoiweza, jinsia iangaliwe tu pale anapokua amekidhi viwango na si kubebana
Bujibuji said: Matokeo ya kuchagua SPIKA asiye na sifa. Kwenye katiba mpya, tutataka spika asiye mbunge, na achaguliwe na wananchi Click to expand... mkuu Bujibuji na asichaguliwe sababu ni mwanamke nakataa na kupinga kabisa kumpa mtu cheo ati kwa kuwa ni manamama......mtu apewe kazi anayoiweza, jinsia iangaliwe tu pale anapokua amekidhi viwango na si kubebana
G guest-1790917349 Guest Nov 8, 2012 #42 Bujibuji said: Wigi niwigue kiti changu cha uspika nisikiachilie Click to expand... ......ha ha ha
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Nov 8, 2012 #43 Wigi ni vazi la bunge???