Ntiliabhose
Member
- Dec 31, 2012
- 78
- 38
Nilibahatika kuonana nae miaka mingi iliyopita,kipindi Niko darasa la tatu,alipokuja mkoani kwetu.kipindi hicho ilikuwa kawaida kiongozi mkubwa kama yeye Akija wanafunzi tunatawanyishwa kwenda uwanjani kusikiliza hotuba zake.
Sasa basi kipindi hicho na udogo wangu kuna story nilikuwa nasimuliwa kumuhusu MWL mpaka Leo sijui kama ni ukweli ama zilikuwa story tu!mfano
Kifimbo chake kilikuwa na nguvu Za ajabu,eti kunakipindi alikisahau mezani alikuwa kwenye kikao,hivyo watu walipojaribu kukibeba wakashindwa mpaka akarudi mwenyewe kukichukua.
Na eti kuna kipindi Kile cha harakati za uhuru aliwah kuwakuta wazungu wamekaa sehemu akawasalimia GOODMORNING AMAGERU GANU akimaanisha Za asubuh majitu haya,wazungu wakatafuta wee kwenye kamusi ilo neno la pili kumbe ni la kizanaki.
Eti kunasiku aliwekewa sumu kwenye chai,sa wakati wamefumba macho wanasali akabadilisha kile kikombe chenye sumu akamwekea jirani yake,
Jamani hebu tuhabarishane wanajamvi mmewahi kusikia haya,tupieni nanyi mlioyasikia,au kujua.