Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,579
- 1,080
Ogopa sana ile Kitu ya Meru,,Unaweza ukaweka kwenye manati ukalenga Kunguru na akadondoka kwa jinsi ilivyosindikwa...Sasa unaichambua vizuri unaongezea na flavour ya sigara kali(nyota)aaaaaaah BurudaniiiNna hamu nayo sana aisee..mara ya mwisho kuvuta bange ya ukweli nilikuwa Majengo sekondari...hii tuliyovutaga makutopora cha mtoto sana...hata haina stimu maharufu tu!
Bange ya arusha ina hadi flavor..chezea!!!