Vituko vya MWL NYERERE ni kweli?

Ntiliabhose

Member
Dec 31, 2012
78
38
Nilibahatika kuonana nae miaka mingi iliyopita,kipindi Niko darasa la tatu,alipokuja mkoani kwetu.kipindi hicho ilikuwa kawaida kiongozi mkubwa kama yeye Akija wanafunzi tunatawanyishwa kwenda uwanjani kusikiliza hotuba zake.

Sasa basi kipindi hicho na udogo wangu kuna story nilikuwa nasimuliwa kumuhusu MWL mpaka Leo sijui kama ni ukweli ama zilikuwa story tu!mfano
Kifimbo chake kilikuwa na nguvu Za ajabu,eti kunakipindi alikisahau mezani alikuwa kwenye kikao,hivyo watu walipojaribu kukibeba wakashindwa mpaka akarudi mwenyewe kukichukua.

Na eti kuna kipindi Kile cha harakati za uhuru aliwah kuwakuta wazungu wamekaa sehemu akawasalimia GOODMORNING AMAGERU GANU akimaanisha Za asubuh majitu haya,wazungu wakatafuta wee kwenye kamusi ilo neno la pili kumbe ni la kizanaki.

Eti kunasiku aliwekewa sumu kwenye chai,sa wakati wamefumba macho wanasali akabadilisha kile kikombe chenye sumu akamwekea jirani yake,

Jamani hebu tuhabarishane wanajamvi mmewahi kusikia haya,tupieni nanyi mlioyasikia,au kujua.
 
Kama wakati Nyerere yupo hai ulikuwa darasa la 3, sasa mbona una akili za kitoto hivi?

Na nikurekebishe, sahihi ni kwamba ulimuona, sio mlikutana
 
bangi za sakapal hizi!

Sio bangi sema bange, mie hii ya kusimama barabarani raisi nyerere anapita ilishanikuta sana wakati nasoma shule ya msingi muhimbili enzi za mwalimu ndosi na mwalimu batalingaya looh

Kifimbo cha mzee kilikuwa nouma mie pia nilishazinyaka kuwa aliwekewa bomu pale daraja la salenda yaani msafara wake ukipita tuu alipuliwe, basi kifimbo kikamtonya na akabadili msafara akapita daraja la kajima.
Malkia elizabeth alipofika akavaa gloves ndo akatoa mkono kumsalimia mwalimu, mwalimu nae akampa kifimbo badala ya mkono.
Hakuna aliyeweza kukinyanyua kifimbo chake ikitokea alikisahau mahali hadi arudi, alikirithi kutoka kwa wazee wa kizanaki.
Watoto wa dotcom mtabisha coz hamzijui wala hamkuwahi kuzisikia.
Mentor njoo tuvute wote bangi nnaha ya kukuona ukiwa ushakolea mjani na macho yako hayo sikupatii picha.
 
Last edited by a moderator:
Stori za vijiweni hizi.

bangi za sakapal hizi!

ugali umeshaiva nenda kale

Kama wakati Nyerere yupo hai ulikuwa darasa la 3, sasa mbona una akili za kitoto hivi?

Na nikurekebishe, sahihi ni kwamba ulimuona, sio mlikutana
Mbona hizi story zilikuwa common sana wakati huo? Mnachoshangaa ni nini? Au Nyerere wakati anafariki dunia nyie ndiyo mlikuwa chekechea, kwa hiyo hamkuzisikia hizi?
 
JF tumevamiwa!
109.gif
 
Wengine nyerere ni mungu kwao

Hadith hizo zilikuwepo na pia kuna siku wazee wa sumbawanga walimwibiia. Kifimbo chake

Alikua mshirikina sana

Ila. Uzalendo na kupenda nchi yake na dini yake. 10000%

Big up nyerere
 
Watanzania tunakwenda ngazi kwa ngazi, ngazi kwa ngazi....kumbe ajipepea shuzi la kawa[SUP]2[/SUP]
 
alikua na saa, kukiwa na hatari au mtu mbaya inakuwa nyekundu...wakati anataka kupinduliwa iligeuka rangi wiki nzima
 
hizo story tulikuwa tunazipata sana utotoni,ila kwa sasa siwezi kuchangia.
 
Sio bangi sema bange, mie hii ya kusimama barabarani raisi nyerere anapita ilishanikuta sana wakati nasoma shule ya msingi muhimbili enzi za mwalimu ndosi na mwalimu batalingaya looh

Kifimbo cha mzee kilikuwa nouma mie pia nilishazinyaka kuwa aliwekewa bomu pale daraja la salenda yaani msafara wake ukipita tuu alipuliwe, basi kifimbo kikamtonya na akabadili msafara akapita daraja la kajima.
Malkia elizabeth alipofika akavaa gloves ndo akatoa mkono kumsalimia mwalimu, mwalimu nae akampa kifimbo badala ya mkono.
Hakuna aliyeweza kukinyanyua kifimbo chake ikitokea alikisahau mahali hadi arudi, alikirithi kutoka kwa wazee wa kizanaki.
Watoto wa dotcom mtabisha coz hamzijui wala hamkuwahi kuzisikia.
Mentor njoo tuvute wote bangi nnaha ya kukuona ukiwa ushakolea mjani na macho yako hayo sikupatii picha.

Nna hamu nayo sana aisee..mara ya mwisho kuvuta bange ya ukweli nilikuwa Majengo sekondari...hii tuliyovutaga makutopora cha mtoto sana...hata haina stimu maharufu tu!

Bange ya arusha ina hadi flavor..chezea!!!
 
Utanikuta kijiwe pub nitakuwa nimekaa kiti cha kwenye kona kabisa.:A S-coffee:
 
Sio bangi sema bange, mie hii ya kusimama barabarani raisi nyerere anapita ilishanikuta sana wakati nasoma shule ya msingi muhimbili enzi za mwalimu ndosi na mwalimu batalingaya looh

Kifimbo cha mzee kilikuwa nouma mie pia nilishazinyaka kuwa aliwekewa bomu pale daraja la salenda yaani msafara wake ukipita tuu alipuliwe, basi kifimbo kikamtonya na akabadili msafara akapita daraja la kajima.
Malkia elizabeth alipofika akavaa gloves ndo akatoa mkono kumsalimia mwalimu, mwalimu nae akampa kifimbo badala ya mkono.
Hakuna aliyeweza kukinyanyua kifimbo chake ikitokea alikisahau mahali hadi arudi, alikirithi kutoka kwa wazee wa kizanaki.
Watoto wa dotcom mtabisha coz hamzijui wala hamkuwahi kuzisikia.
Mentor njoo tuvute wote bangi nnaha ya kukuona ukiwa ushakolea mjani na macho yako hayo sikupatii picha.

hapo kwenye pink, ni Batalingaya wa muhimbili boys enzi hizo nini? nimemkumbuka mama Nanakara!
 
Kuna hii nimewahi kuisikia kwamba Wakati Nyerere yuko katika harakati za kudai uhuru akiwa Uingereza na Mzee Kawawa, Malkia Elizabeth aliwaandalia dhifa ya taifa. Wakati waandishi wa habari wakiwa wanamsikiliza Nyerere alipokuwa akitoa hotuba, yeye Nyerere alimuona Kawawa akificha mfukoni kwenye suti yake vijiko viwili, umma mbili, visu viwili, vyote vya dhahabu. Nyerere akaona amezidiwa na Kawawa aliyefanya vile wakati concentration za wenyeji zikiwa kwa Nyerere. Nyerere kuona vile akawaza haraka haraka kuwa lazima avichukue kwa Kawawa akawa anaelezea uwezo wa Waafrika kwa sayansi zao za asili akamwambia Malkia.."Bara la Afrika lina sayansi asilia nzuri sana mfano ni huu nachukua vijiko viwili, umma mbili visu viwili naweka mfukoni kwenye suti yangu, akasema hivi vitu vitasafiri invisibly hadi mfukoni kwenye suti ya Kawawa" Akafanya kama alivyosema kisha akamwambia Kawawa toa hivyo vitu weka mezani. Kawawa akatoa, Nyerere akabaki navyo huku Wazungu wakijua vimetoka mfukoni mwa Nyerere kwenda kwa Kawawa. Wakati wakirudi nyumbani Kawawa akanung'unika sana kwa kuzulumika Nyerere akamwambia huwezi kunishinda wewe urudi na vyombo vya mezani vya dhahabu wakati mimi ndiye Boss wako.
 
hapo kwenye pink, ni Batalingaya wa muhimbili boys enzi hizo nini? nimemkumbuka mama Nanakara!

ndo huyohuyo, hata mama nanayakara alikuwepo enzi zile, tena nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja home kinoklain
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom