Keko kuna balaa toka enzi na enzi mpaka kesho ,keko usiende kuishi kila aina ya usela uko huko ,mchana kweupe unakabwa na watu wanaendelea na shughuli zao ,kijana wa miaka 16 anakushikia panga mchana,keko pasua kichwa watoto na watu wa huko wameshindikana ....keko kuna story tamu hope Uzi wake utafunguliwaNimepitia comments nyingi zinaonyesha m'nyamala ilikuwa pasua kichwa enzi hizo. Mliokuwepo enzi hizo hebu mtutoe tongotongo je m'nyamala ilikuwa sehemu balaa zaidi kuliko maeneo kama magomeni, keko au ubungo?
Maana nimewahi kusikia maeneo haya (magomeni, keko na ubungo) yalikuwa na balaa nyingi zikifanywa huko.
Nimepitia comments nyingi zinaonyesha m'nyamala ilikuwa pasua kichwa enzi hizo. Mliokuwepo enzi hizo hebu mtutoe tongotongo je m'nyamala ilikuwa sehemu balaa zaidi kuliko maeneo kama magomeni, keko au ubungo?
Maana nimewahi kusikia maeneo haya (magomeni, keko na ubungo) yalikuwa na balaa nyingi zikifanywa huko.
Sinza B. Uwanja wao wa nyumbani shule ya msingi Mashujaa.Hivi Abajalo ilikuwa ni ya Mwananyamala pia?
Tupo mkuu...majukumu wait tuwatafutie watoto kula kwanza Tutakujawakazi wa Mwananyamala mpo? hahahaha
sinzaHivi Abajalo ilikuwa ni ya Mwananyamala pia?
Ndiyo watu walikua wanacheza hadi usiku.Wakuu ile Sunrise bar siku hizi imekua Kanisa watu wanafanya ibada kila siku.
Halafu nilikua nikienda kupiga zoezi pale uwanja wa Mwananyamala B nakuta kuna zile nguzo kama za uwanja wa Chamazi Complex. Hivi zamani palikuaga na mataa ya mechi za usiku???
Dah umenikumbusha mbali tena... Namfahamu vizuri aiseeUnamkumbuka Mzee Ndevu?Mwanae alikufa akijidunga madawa?Maiti ikakutwa na sindano yenye madawa kwenye uume,maana aljidunga sehemu za mwili mpaka mishipa yote ikapotea,akaanza kujidunga kwenye uume
Hao panya road walipoanza kusumbua hadi yule mtangazaji akajificha chini ya uvungu wa gari nikapigiwa simu bwana njoo tunasikia panya road watakuja Mwananyamala....
Mwembechai,mikumi,mapipa palikuwa hot lkn sio kama keko,mwananyamala,kigogo nk ..binafsi ni mzoefu wa magomeni mapipa mitaa ya suna huku ukitaka druglords ,watengeneza hela feki utawapata ,matapeli ,watoto wa mjini utawapata mpaka watoto waliosumbua miaka ya 2014,2015 kwa jina la panya road utawapata wakazi wa kinondoni wanawafahamu sana hawa
kawaida sana............Daahh nshalishwa nyama ya mbwa mwananyamala nikijua mbuzi
Tupooooh!!!wakazi wa Mwananyamala mpo? hahahaha
Haha dah inatenga billion kwaajili ya panyaroad vitoto vileHao panya road walipoanza kusumbua hadi yule mtangazaji akajificha chini ya uvungu wa gari nikapigiwa simu bwana njoo tunasikia panya road watakuja Mwananyamala.
Nikatoka zangu huko nilipo hadi Mwananyamala, tukakusanyana uwanja wa Sparta maarufu kama Makaburini, yaani pale ilikua unaenda kama ulivyo ukifika unakabidhiwa silaha.
Wale wadogo tukasikia wapo eneo linaitwa Peace, tukaanza kuwafuata, tunafika tunaambiwa bwana wameelekea juu kama wanayafuata magenge. Tukasema kama wameiacha kwa kopa basi waende wanapoenda.
Siku kadhaa mbele nasoma kwenye gazeto eti serikali imetenga zaidi ya bilioni moja kupambana na panya road
Hao panya road walipoanza kusumbua hadi yule mtangazaji akajificha chini ya uvungu wa gari nikapigiwa simu bwana njoo tunasikia panya road watakuja Mwananyamala.
Nikatoka zangu huko nilipo hadi Mwananyamala, tukakusanyana uwanja wa Sparta maarufu kama Makaburini, yaani pale ilikua unaenda kama ulivyo ukifika unakabidhiwa silaha.
Wale wadogo tukasikia wapo eneo linaitwa Peace, tukaanza kuwafuata, tunafika tunaambiwa bwana wameelekea juu kama wanayafuata magenge. Tukasema kama wameiacha kwa kopa basi waende wanapoenda.
Siku kadhaa mbele nasoma kwenye gazeto eti serikali imetenga zaidi ya bilioni moja kupambana na panya road
Dogo Said nasikia mama yake yupo Arabuni kaolewa na msaudi. Siku moja nilimsikia akilalamika anatamani angekua na makalio makubwa kama ya mchizi mmoja alikua amepita jirani na hapo.Saidi yupo south asahv anawapa tigo makaburu
Iko mwishoni kabisa mwa soko kuna uchochoro mtu akipita hapo hajulikani anaenda gesti au anataka kutokea upande wa pili... Nyingine ilikuwa pale Barabarani kabisa
Kuna jamaa mmoja sasa hivi mkubwa tu ktk awamu hii ya 5 alikuwa anadate mdada wa mitaa ya kwetu sijui mwenyewe alikuwa anaishi wapi kipndi icho kuna siku wamechil uwanjani na yule mdada pale uwanja wa sparta usk km saa tatu wanashikana shikana tukawafata "tukamuliza nani amekupa ruksa ya kukaa eneo ili mda huu? Na unafanya nini hapa Jamaa akawa mnyonge ruka kichurachura akaruka pale akaomba tumuache maana ana mke na watoto akalipa elfu 80 na simu akatoa line simens dole gumba ila alivyoondoka akugeuka nyuma..now yupo kwa JPM huko ila mwanyamala anaijua vizur
Mie ndio nimecheka mpaka imebidi wanitoe nje nipate upepo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka nimejamba eti fungua kidogo nione niondoke.
Wanga wa m/nyamala washafanya yao.Jaman ana miezi kadhaa mkuu masikini nasikia ilikua kichwa tu ndio kilimuondoa