Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,189
Mwalimu nyamakate imebidi nimpigie simu farshuu ljoh anitajie jina ahhaha me sijawahi kugombana na mtu kuhusu chenji halaf mwalimu nyamakate ukiwahi lazima akupe dell halaf ice cream zake alikua haesabu nimezila mm jaman wakati nikiuzawale washkjai ilikuwa noma ikitokea Mtemi mwingne wanataka wapigane nae saa ya kutoka mnazunguka nyuma kule uwanjani shule nzima tunaamia uwanjani kuangalia NGUMI kipindi hicho geti lilikuwa linatumika la mbele pekee lile linaloangalia njia ya kwenda ujiji
ticha mpogolo dah
huyu ticha anaeuza asklimu namkumbuka vizuri tuu ila nimemsahau jina ila sitamsahau sitamsamehe
au shunie ndo ulikuwa wewe nini umeachiwa dell siku hiyo nimekupa 50 halafu chenji yangu sh 40 ukadai umenirudishia wakt ujanipa si ndo akatokea huyu ticha akauliza una shaidi nikasema ndiyo akaja rafiki yangu akasema ndio hajampa chenji yake aisee basi bi dada ukakataa ukidai umenipa aisee tulichezea viboko balaa sitaisahau hiyo siku mpk wanafunzi wenzangu wakashauru nikamsemehe kwa mwalimu mkuu anauza asklim shule wkt ilikatazwa mwalinu kufanya biashara yaan walituonea huruma sana mm na shaidi wangu
nakumbuka ilikuwa standad 4 hiyo yale madarasa ya pembeni vidirisha vidogo viko juu upande wa uwanjani