Vituko vya mochwari

Mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti cha Enugu amewakosea Wanigeria baada ya kushiriki selfies alizopiga na maiti kwenye chumba cha kuhifadhia maiti anachofanyia kazi kwenye Facebook. Tazama picha alizoweka;
 
...kujua kwamba baadhi ya maiti walikuwa na "nguvu" kiasi kwamba hawaruhusu wengine kulala karibu nao na alikuwa mwangalifu kila wakati akihudumia miili kama hiyo.


Baadhi ya maiti haziruhusu wengine kulala karibu nao

Maneno yake: “Baadhi ya watu wenye nguvu hawaruhusu maiti nyingine kulalia karibu nao, hivyo wakati wa usiku, wataondoa maiti nyingine karibu nao na kuzitupa mbali na mahali zilipo au wangeenda mahali pa faragha na kulala hapo. – maiti zote si sawa, ndiyo maana tunabisha kabla hatujaingia humo.”
 
Unabisha hodi au ?
 
Hivi hakuna watu wanakwenda mochwari Kwa ajili ya kutaka kiungo,vazi,mapambo nk kutoka Kwa maiti Kwa ajili ya ushirikina

Wanautumia katika namna gani (kuharibu au kujenga,
wenye tija au upo Kwa ajili ya kuvuruga)
 
Hivi hakuna watu wanakwenda mochwari Kwa ajili ya kutaka kiungo,vazi,mapambo nk kutoka Kwa maiti Kwa ajili ya ushirikina

Wanautumia katika namna gani (kuharibu au kujenga,
wenye tija au upo Kwa ajili ya kuvuruga)
Wapo wengi sana lakini hiyo ni biashara ya magendo tena ya siri. Ila hawaendi wao direct bali kuna madalali
In fact matumizi yake ni kwa ajili ya kuharibu na kufisha
 
Niliwahi kusikia sehemu kwamba Kuna watu wanachukua maji ya maiti halafu wanapaka kwenye pesa kabla ya kukulipa na wakikulipa ni mikosi tu unakumbana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…