Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.
Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.
Si amelilia wembe...mi mbona hizo fursa hadhimu hazinitokei au nna gundu...kama umemshindwa nitumie namba yake PM
Upele humwota asiye na kucha
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.
Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.
Hawa ndio ile sampuli ya kuilaumu serikali katika kila kitu.Dah kweli tupo tofauti sana, sasa kama ujui cha kufanya kwenye maamuzi mepesi kama hayo je yale magumu siutalia mji mzima mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kufuatilia nyuzi zako na nimegundua kuwa unashida mahaliNimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.