Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Hebu watu wa Dar mtuambie huyo baba yenu halisi anaitwa nani na kanisa lake lipo wapi.

Kwa ninavyojua mimi BABA HALISI ni MUNGU BABA MUUMBAJI WA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO.

Wengine tukijiita baba halisi tutakuwa tunakufuru.
Si ushaambiwa baba halisi
 
Wanasema nabii Eliya wao alipaa kwenda mbinguni sometimes hizi imani zinawafanya watu kuwa matahira aisee
Yapo makanisa yanayotumia nguvu za giza kuwafunga waumini akili.
Ogopa sana kupewa mafuta ya upako, maji na vitambaa makanisani. Ni hatari sana.
 
Sio kweli huwa munawabalisha waumini wenu kufanyia na waislam ili kuwahadaa waislam
tunahaja GANI ya kuwafanyia hivyo hatuja sema wewe ila wapo waislam kibao KWA mwamposa
Na ukweli ni kwamba jitetee wewe na nafasi yako kama huendagi wewe wapo wenzio wanaenda na nimesha kuelewa wewe mapema sana unadhani waislam WOTE wakamilifu au wakristu ndio wapotevu pole
 
Huyo kanisa lake lipo tegeta masaiti na wiki iliyopita ilikuwa ni zamu ya bodaboda kwa ajili ya kufuta ajali sijajua kama ilifanikiwa au laa na anapopita na msafara wake huyo mr anakuwa na magari 3 ya kifahari vx v8 ikiwa moja wapo na anatembea na king'ola hasimamishwi na yeyote yule barabarani na waumini wake ndio wale wanaovaa nguo nyeupe mwanzo walikuwa pale mbezi makonde ila sasa wamegawanyika ndio wengine wapo tegeta ila ninachompenda anawafundisha waumini wake mbinu za kusaka pesa ktk nyanja mbalimbali
Huyo ndio siloam miungu 1000?
 
Kwa wale wenye imani ya kiisilamu wale ni wakorofi sana, hawawezi kukubali atoke shehe wao anakula hela za watu kijingijinga hivi, aisee...
Halafu ndio kama huyu na marinda kwishnei....
2989556_Screenshot_2021-11-05-22-23-23-45_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
Da umenikumbusha jana nimepanda coaster kwenda ,karakoo Kapanda mama ...mmoja ndio agent wa mchungaji anajiita ,Mtabiri nyuki ...anadai wanasabuni ukiogea hizo madeni yote kwisha ,nyumba ya kupanga ww ndio utakuwa na sauti kuliko baba mwenye nyumba anaalika watu waende kuombewa
Huko Ni kuturoga sisi wenye nyumba. Nikijua aliyepanga nyumba yangu kahamia huko nafukuza
 
Back
Top Bottom