Vituko vya Madenge

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
544
Reaction score
151
Madenge na Babu yake walikuwa na mazungumzo yafuatayo;

BABU : Mjukuu wangu jifiche maana leo hujaenda shule na mwalimu wako huyoo anakuja.

MADENGE : Babu jifiche wewe maana nimetoa taarifa kuwa sijaenda shule kwa kuwa babu amefariki.
 
Haya nenda kasali sasa maana upupu uliokuwa unakuwasha umeumwaga hapa.
 
Inaonekana we wakusoma bado uko kindergaten mi naona huku hapakufai. Nashut down
Ngoja niko naandaa software moja maalum kwa ajili ya remote control ya huyu Madenge wa Jf
 
Kweli,madenge wa Jf a.k.a Wa kusoma anahitaji remote control maana hana tofauti na MADENGE original
 
Mtoto kama huyu ni wa kutandika tu.
 
Yaani Wakusoma= Madenge. Teh teh teh.
 
Yaani Wakusoma= Madenge. Teh teh teh.
Teh halafu anataka kujipa ban kumbe anaenda kijijini kwao na hakutakuwa na internet na anatumia kitochi,
dogo mjanja sana.
 
Madege hajamaliza school tu bado.....si yule dogo wa pale uhuru mchanganyiko.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…