Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Nafikiri inaweza kuwa chini ya 20% ya wapiga kura ndio wanajitambua. Its so sad aisee. Angalia ufahamu wa "malaika" wetu halafu fananisha na ufahamu wa Uhuru Kenyatta. Ukweli kabisa kuna kipindi unaona kitu mahali halafu unajiuliza hicho kitu kimewezaje kufika pale kilipo.
 
Hii ndio aina ya wananchi wa maandazi republic...lazima viongozi wao watakuwa ni watu wenye vinyongo, chuki na visasi.Kweli hii ni "Nchi ya vi-wonder"! Mtu mwenye ufahamu kama wako hakutakiwa hata kuwa na access ya computer/simu kupost uchizi kama huu.
 
Mi nadhani tuiite NGANO REPUBLIC maana ina mambo mengi ka ngano, beer, chapati, maandazi, mikate, keki, sambusa, kaukau, hadi urojo na mtori wa ngano mtauona kwenye hii republic
"Pombe" Republic would have been another good name for Tanzania. Tena hapo kwenye pombe ni pombe za kienyeji.
 
Hii ni full ulimbukeni. Limbukeni akipata kila kiungo hupiga kelele
 
Vita ya madawa imeshaisha....

Hivi sasa vimeibuka vita vipya...

Viya vya mashoga...

Na hivi sasa tuna kamanda mpya... Kingwandu... Kingwangwandu...

 
Wagonjwa wa akili mirembe wameongezeka...nimesikia leo kwenye magazeti asubuhi
 
Tumeshadumbukiza miguu yote 2 bado kuzama tu tutaweza kuogelea na kujinasua ! Ndani ya maji haya ya ziwa ambayo hayana mwelekeo!!
Mkuu sisi tumeza kwenye tindiga bora hata tungekuwa kwenye maji wenye kujua kuogelea wangetuokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…