Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Loh

Nyie wachochezi

Acha mie nikalale

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Between Maandazi and Banana.
Actually Maandazi can stay longer comparison to banana.
I'm afraid of ICE CREAM Republic
🙂

Halafu unaambiwa kabla hatujakuita tumeshakuchunguza miaka 10 nyuma ila mnashindwa kubaini mtu alishaacha au club ilishavunjwa

Tumepata Tanzania ya vi wonder.....na sio viwanda

Kwa mbaaaaali naona Tanzania ya Viwanda ikipeperuka..

Tanzania kila kitu ni maigizo.

Hiinchi ina vituko....ila tumevizoea tu
Kwaya central ya polisi......hahahaaa


Hiyo inaitwa kumkoma nyani... au masikini akipata.....[emoji23][emoji23] series ya korea
 
Ila ile ya mapambio na vibwagizo ndo umezidi nitoa mpakan na hii jamhuri kwa kweli.
 
Binafsi naona hii ni "Awamu" Serekali ya Kulipa Visasi na Kukomoana.
Jamani nimesikia hyo allegation mara nyingi. Nahisi kila kiongozi wa nchi hii alilipa kisasi. The near past tulisikia mengi kuhusu babu seya, Tukasikia mengi kule mwanza kwa mmiliki wa Mwanza hotel kususiwa, Bungeni wakisema kibaya mitaani wanafuatwa, nk. huwezi mulaumu huyu na kusahau detention za miaka yote ya nyuma watu kutiwa kizuizini, nk.
 
Anashangaa wanakwaya kumtembelea Mchungaji wao wakati Makonda ameita waandishi wa habari na polisi akaanza kuwaimbia pambio na bila kutumia akili woote waliimba pambio mubashara. Swali la kujiuliza je walikuja kuimbiwa pambio na RC.
 
Ila ile ya mapambio na vibwagizo ndo umezidi nitoa mpakan na hii jamhuri kwa kweli.

Ndo nchi yetu hii
na kuna mijitu inaamini ndo tunapigana vita ya madawa
na tuko advanced kuliko FBI na CIA
 
Reactions: bht
Marekan nayo miongon au?
 
Kuna wimbo unasema; Maji ya moto yamekuwa baridi, Hakimu amekuwa shahidi, Aliyenitesa ndio wakunifariji.....Waache wapambanee.... Waache wapambaneee
 
TID kakiri mbele ya umati pale kuwa ameachana na utumiaji wa madawa...
Je hiyo alichosema ni kweli na kinatoka moyoni
Au ndy anatafuta sympathy tu toka kwa wadau

Ova
 
Mkuu hii ni chuki tu kwa mtu mmoja. Chuki ya kukumaliza tu ama kukufilisi.
Dangote kuna baadhi waliajiriwa hawana vibali lakini alishikwa manager, sikuona dangote anatangazwa kwa mbwembwe kwamba hawamuogopi na pesa zake watamfunga...kimyaaa...lakin kwa mwingine wanataman hata wamshike na wambebe akiwa hivo hivo katika kitanda alicholazwa maskini baba wa watu yule ..mkuu kuna meng yamejificha ..
 

Tanzania ilibadilika kutoka kuwa United Republic mwezi November 2015 na kuwa Banana/Maandazi Republic.
 
Siku hizi nimeacha kuangalia TV sana sana nikipata some few news kwenye simu yangu inatosha
 
Reactions: bht
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…