Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Hii ni vitumbua republic
 
Hiyo inaitwa kumkoma nyani... au masikini akipata.....[emoji23][emoji23] series ya korea
 
The Boss ! Ningefurahi sana sana kama walau asilimia 50 ya watanzania tungekuwa na uwezo wa kuona ulichozungumzia. Lakini nakuhakikishia ni wachache sana wanaoona hivyo. Na ndio maana wanasiasa wameamua ku- ''give the people what they want''. Kwa kifupi kabisa umesema ukweli ambao ndio tatizo la Tanzania. Tatizo la Tanzania ni sisi wananchi wake. Hatujijui, tunafuata mkumbo tu. We are in the state of mass ignorance. Zamani walikuwa wanatania mwenge ndio unatumika kutupumbaza na mimi nilikuwa naona wenye imani hizo ni wajinga, lakini kutokana na kinachoendelea nyakati hizi huenda nikaamini.
 
Ni Maandazi Republic au Banana Republic Mkuu? Chagua kwanza moja hapo ili tujadili. Tanzania yetu sote,tutakwenda mbele tu hata kwa kukosoana na kuelekezana
Kwanini usijadili Hoja badala ya Jina? haijalishi Banana au Maandazi Hoja hii imekuwa yakupigiwa Mfano kwa Sarakasi za Watawala....kuwaona watu wao maBWEGE na wenyewe wanashangilia....
 
full "mzuka"
 
Umesema kweli kabisa kiongozi. Ingetokea siku moja watu wote wakajielewa hii Maandazi Republic ingebadilika.
 
hahahahaha hivi mbona pumzi imekata mapema? tuliza munkari bado miaka 8.
 
Tatizo hakuna chama mbadala cha kuweza kuongoza nchi!
Zamani kidogo waliaminika lakini kwa sasa ni wapiga ruzuku tu.
Bado miaka 9 mtaumia kwa vihoro bure.
 
Tanzania sasa ni kweli imeshakuwa banana republic na mahakama zake sasa zinageuka kuwa kangaroo courts.
Photocopy ya Zimbabwe.
 
signature yako ni ya kibabe


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…