Vituko vya Corona Afrika

Vituko vya Corona Afrika

. . 6:5-15

MT. 6:5-15 SUV

Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.] Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

tapatalk_1588170764529.jpg

Jr
 
Jafo na Nyungu

Jr
 
Nmekua nikimfatilia TB Joshua kwa mda mrefu. Kwasasa namuona mentally na Saikologically hayuko sawa. Anaonekana ni mtu aliedhoofu,anamawazo mengi,hana furaha tena km alivyokua huko nyuma.

Waliosema uzee ni fainali hawakukosea. Ule uhuni na unyama aliowafanyia watoto na wanawake wasio na hatia umeanza kumtesa. Soon things are going to fall apart for him.
. . 6:5-15

MT. 6:5-15 SUV

Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.] Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

View attachment 1434632

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tb Jshua ni Master wa maigizo. Anajua kutengeneza unabii na namna ya ku-react pindi unabii wake ukifeli. Kusema eti anaenda mlimani kuomba ni mwendelezo vituko vyake baada ya utabiri wake wa 27 March kushindwa vibaya. Tb Joshua hana mda mrefu anguko lake linakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa hawaanguki haraka... Wanakuwa na backup kwenye kila mission yao... This time kakimbia koronya yuko self isolation kwa jina la kufanya maombi koronya lipotee

Jr
 
Sure,.Manabii type ya Tb Joshua na Gwajima Mungu kawaacha maksudi ili watu waweze kutambua nabii wa uongo yukoje na anasifa zipi. Ili Mungu akimuinua nabii wake basi wenye hekima watamtambua.

Back
Top Bottom