Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,519
- 652
Hivi ni kwa nini hawa virusi wameviita CORONA! Ni kwa nini wasiviite HAMIDA au John!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwakuwa vimeanzia China ambako hakuna hayo majinaHivi ni kwa nini hawa virusi wameviita CORONA! Ni kwa nini wasiviite HAMIDA au John!
Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi ni kwa nini hawa virusi wameviita CORONA! Ni kwa nini wasiviite HAMIDA au John!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr dawa zako vipi haziwezi saidia kuua coronavirus?Ni wazi sasa baadhi ya nchi ya kiafrika zimeamua kwenda kinyume na kanuni za kimataifa za kitaalam za kupambana na virus vya Corona. Ni kama vile Afrika inataka kutoka kivyake na kuithibitishia dunia kuwa AFRIKA IKIAMUA INAWEZA...
Huko Madagascar rais wa nchi hiyo ametangaza kuwa majani ya aina fulani ya chai yanatibu virus vya Corona huku akithibitisha wagonjwa 20 kupona.. Shirika la afya duniani limesema dawa hiyo haijathibitishwa kitaalam na inaweza kuwa na madhara makubwa kiafya
Nchini Tanzania mkuu wa nchi amesisitiza maombi na matumizi ya kuvukiza maji ya mvuke kama tiba na kinga sahihi ya corona lakini wakati huo huo waziri wake wa afya akisema kuvukiza sio njia sahihi na salama kwakuwa njia ya hewa haikuumbwa kupitisha moto... Wananchi wamebaki na kizungumkuti kikubwa kushindwa kujua wamuamini nani
Nchini DRC wao wametoka kivyao... Wanasema virus vya Corona ni uzushi mtupu na wananchi wameanza kuhamasishana kwa njia ya muziki na kula bata.. Kwamba ukijichanganya kwenye kucheza na kurukaruka (dhana ya kutoka jasho) kama ile ya kuvukiza tuu... Virus vinakimbia
Nchini Uganda hali ni tofauti kidogo.. Spika wa Bunge la nchi hiyo ameidhinisha USD million 3 kinyume na maagizo ya mahakama ili zikasaidie mapambano dhidi ya corona huku kila mbunge akiingiziwa USD 3000 toka kwenye hilo fungu.. Ukostaajabu ya Musa utaona ya firauni.. Eti Museveni hana habari na hilo jambo na amewatahadharisha wabunge wasitumie hizo pesa kwakuwa ni kinyume na maamuzi ya mahakama
Huku mitaani mafundi nguo wamepata biashara ya kushona barakoa.. Usalama wake ni kiasi gani? Hilo sio muhimu kwa sasa.. Kikubwa kuziba pua... Utadhani corona ina harufu...
Vyovyote iwavyo Afrika inajaribu kutoa ujumbe fulani kwa mabeberu na hii inaweza kuwa mwanzo wa kuwindana hasa kama njia za Afrika zitafanya kazi.. Lakini mpaka hii corona ipite tutashuhudia mengi mno
Je umesikia na hiki kilio cha nchi za Afrika kutaka kusamehewa madeni yake makubwa na mabeberu ili pesa hizo zitumike kupambana na korona?
Nje ya mada: corona imeua biashara ya lipstick
Jr![]()

Mshana Jr, umejikita kufanya usanii kwa janga hili la maambukizi kama moto wa nyikani, du!Ni wazi sasa baadhi ya nchi ya kiafrika zimeamua kwenda kinyume na kanuni za kimataifa za kitaalam za kupambana na virus vya Corona. Ni kama vile Afrika inataka kutoka kivyake na kuithibitishia dunia kuwa AFRIKA IKIAMUA INAWEZA...
Huko Madagascar rais wa nchi hiyo ametangaza kuwa majani ya aina fulani ya chai yanatibu virus vya Corona huku akithibitisha wagonjwa 20 kupona.. Shirika la afya duniani limesema dawa hiyo haijathibitishwa kitaalam na inaweza kuwa na madhara makubwa kiafya
Nchini Tanzania mkuu wa nchi amesisitiza maombi na matumizi ya kuvukiza maji ya mvuke kama tiba na kinga sahihi ya corona lakini wakati huo huo waziri wake wa afya akisema kuvukiza sio njia sahihi na salama kwakuwa njia ya hewa haikuumbwa kupitisha moto... Wananchi wamebaki na kizungumkuti kikubwa kushindwa kujua wamuamini nani
Nchini DRC wao wametoka kivyao... Wanasema virus vya Corona ni uzushi mtupu na wananchi wameanza kuhamasishana kwa njia ya muziki na kula bata.. Kwamba ukijichanganya kwenye kucheza na kurukaruka (dhana ya kutoka jasho) kama ile ya kuvukiza tuu... Virus vinakimbia
Nchini Uganda hali ni tofauti kidogo.. Spika wa Bunge la nchi hiyo ameidhinisha USD million 3 kinyume na maagizo ya mahakama ili zikasaidie mapambano dhidi ya corona huku kila mbunge akiingiziwa USD 3000 toka kwenye hilo fungu.. Ukostaajabu ya Musa utaona ya firauni.. Eti Museveni hana habari na hilo jambo na amewatahadharisha wabunge wasitumie hizo pesa kwakuwa ni kinyume na maamuzi ya mahakama
Huku mitaani mafundi nguo wamepata biashara ya kushona barakoa.. Usalama wake ni kiasi gani? Hilo sio muhimu kwa sasa.. Kikubwa kuziba pua... Utadhani corona ina harufu...
Vyovyote iwavyo Afrika inajaribu kutoa ujumbe fulani kwa mabeberu na hii inaweza kuwa mwanzo wa kuwindana hasa kama njia za Afrika zitafanya kazi.. Lakini mpaka hii corona ipite tutashuhudia mengi mno
Je umesikia na hiki kilio cha nchi za Afrika kutaka kusamehewa madeni yake makubwa na mabeberu ili pesa hizo zitumike kupambana na korona?
Nje ya mada: corona imeua biashara ya lipstick
Jr![]()
Mshana Jr, umejikita kufanya usanii kwa janga hili la maambukizi kama moto wa nyikani, du!
Kama tuko "serious" kutokomeza kirusi cha korona tuhamasishane kuzingatia kanuni za afya dhidi ya maambukizi.
Tuache ngonjera za nani kasema hili nani kafanya kile.
Silaha sahihi ni "kinga" na siyo "tiba".
JILINDE UMLINDE JIRANI, Tanzania bila maambukizi inawezekana.

kumbe kuna wakati akili za watu huhama na kubadilika kulingana naazingira
Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa hiyo Walatini ndo waliopendekeza hivi Virusi viitwe CORONA!?Corona ni neno la kilatini linalomaanisha taji la mfalme(crown).Virusi hivi vimejivisha taji linalofanana na taji la mfalme.corona virus=virusi vilivyojivisha taji la kifalme
Ni kweli kabisa mkuu!?kumbe kuna wakati akili za watu huhama na kubadilika kulingana naazingira
Jr![]()