Vituko vya bongo movie

Mganga lazima acheke sana, aongee kwa sauti ya kutisha na mteja wake aoneshe kumwogopa mwogopa
 
Movie 100 zina sauti moja ya kutisha ya Mtitu "nti..........ntinti"
Hata ukipita nje unajua bongo movie hiyo
 
Wakuu mumewahi kujiuliza ni kwanini movie zote za bongo mtu akipiga simu polisi anauliza kwanza
"Hallo hapo ni kituo cha polisi ?"

Sasa namba mpaka unaisave kwani ulikua hujui ni ya nani
Usizunguke saana, hakuna polisi wa kukukamata humu JF, wooote wa TZ ndo mlivyo, kulizia polisi1
 
Back
Top Bottom