Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Jf kuna miwatu miongo mno. Hafu ipo inayopenda mambo ya kishirikina sana, niliacha kusimulia habar za hivi baada ya watu kunisumbua niwatafutie mganga wa pesa za ndagu. Niksachana na mambo haya. Nadhani mkuu pm yako imefurika wapige tu
Ndagu nini? Hao waganga ndio akinanani?
 
Hahahahahaha.....mhuni alibeba kinyesi cha mwanamalundi na kwenda kukiweka mlangoni mwa nyumba ya mwanamalundi, mwananamalundi kufika akadhani ni mtu amejisaidia mlangoni pake akamlaani mtu mmiliki wa kile kinyesi pasi na kujua ni chake😎😎😎😎😎 ina maana signal za uchawi wake zilishindwa ku detect kuwa ule ni mzigo wake😎😎😎😎😎😎.
aliacha taaluma akatia hasira
 
Kwenye ngono hapo kawakimbiza waarabu hawaonekani kabisa
Kipindi kile wakenya,wahindi,waarabu pale kilikuwa kilinge chao.
Bibi aliwafaa wengi ila yeye alikuwa 'hatoi virogo',bali anatoa virogo na kunyoa wachawi.
sawa kabisa kuna mtu alikuwa anavuka kivuko pale bila kugusa maji aliitwa achimene aliishia kujinyonga na simbi zake mwenyewe nae alikuwa mtu.
 
Umesahau kitu.. naongezea wakati wa Vita vya Kagera inasemekana Bibi fisi ndo alichengesha Rada za Nduli Idd Amin alie taka kuipiga Bugando Hosptal na lile Bomu kwenda kuangukia jirani na chuo cha Bitimba (hadi leo mabaki ya lile Bomu yapo pale Chuo cha Ualimu Butimba) na ndio chanzo cha mwalimu Nyerere kuona Bibi ana heshima kuliko Barabara na ndo maana Barabara ilipinda kukwepa nyumba ya Bibi.. Nia ya Iddi Amin kuipiga Bugando ili wanajeshi na wote waliopata majereha ya kivita wakose huduma za matibabu.
Inasemekana Rada ya Idd Amin alipima vizur mara ya kwanza akaseti mitambo, mara ya pili alivyo pima ili aandae mabomu akaona pale alipo pima kuna uwanja tu na milima (watu wanasema Bugando hospital ilipotea kukawa na fisi tu ndo wanaonekana hapo). Nduli ikabidi apime upya baada ya kupotezwa na Bibi ndo akaona gereza kule na taa zikamchanganya akaachia kombora.. and it was a wrong direction.. story hii nilipewa na mlinzi wa Nyerere..
 
Back
Top Bottom