Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Kipindi hicho ndpo ule mtindo wa kuua vikongwe ulipoanza,,, kule mwanza vikongwe wengi walio kuwa wanahisiwa kuwa ni wachawi walianza kukatwa mapanga.. Bibi fisi pia alikutwa na hlo timbwili...
Ni kweli kabisa hata mm Nyumba yake niliiona Kwa macho yangu, na hata baada Ya kuuawa, nyumba yake ilikaa muda bila Wale vijana wezi wa igogo kuja kuchukua chochote.. Ilianguka yenyewe na hakuna hata aliye chukua bati... Na kweli sehemu hyo wakati wanaweka lami, barabara iliikwepa hyo nyumba yake.

Sasa majambazi walienda kuiba au walitumwa kumuua tu?[/QUO
 
Juma Njemba alikuwa Mkonikoni yani ( Mganga mchawi) Bibi Fisi alikuwa mchawi tu hakuwa mganga...Juma Njemba alikuwa anaagua but bibi Fisi alikuwa haagui


Je, ulipata kusikia habari za "kamchape" huyu alikuwepo Ujiji in 60s kabla ya J,Njemba. Yeye inasemekana alitokea Rukwa akaja Ujiiji kuwatoa watu uchawi lakini naye akakutana na kigogo zaidi yake naye akatolewa uchawi wake. (hayo ndiyo mambo ya uchawi hakuna mbabe all the time)
 
M
Ume"Ochumeraa, post: 27919134, member: 289956"]Mkuu nyuzi una undugu na Mshana au...maana habari zenu zinafanana fanana[/QUOTE]
Mshanajr is my brother in faith.. In addition to that ninasoma sana maandiko yake na ninajifunza vitu vingi sana kupitia kwayo..Ndio maana unaona kama tunafanana vile yani ni kama Nyani Ngabu na Kiranga ..Usipokuwa makini unaweza fikiri ni MTU mmoja..

To me it is a very big honour kunifananisha na Mshanajr
 
Back
Top Bottom