mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,256
- 14,026
Wale jamaa ndivyo walivyo hujiona Wana maisha mazuri sana kumbe hawana mbele wala nyuma.Sio wanawake tu wa Bank bali hadi wanaume.
Kuna siku nimeenda kuapply loan CRDB,nikakutana na dogo mmoja basi sababu na mimi mbali na ukongwe lakini kimuonekano naonekana chalii tu basi akawa ananiletea upuuzi kibao mara nikiuliza kitu asinijibu mara ajifanye yuko busy na simu ili mradi tu nionekane si lolote kwake..
Baadae akaniambia nisubmit salary slip yangu,siku nimepeleka mbona akaanza kunishobokea na huduma ikabadilika.Naamini alijiona mjinga flani tu mbali na shati/suruali zake zilizonyooshwa vizuri kama anaatii amri ya Bashite.
Kama ni mfanyabihashara na mikopo unachukua bank husika lazima uwe na urafiki nao. Bila ivyo kufanikisha ishu za mikopo inakuwa ngumu sana,Sasa unafikiri kila mtu ana muda wa "kufahamiana" na mtoa huduma wa ofisi wa kila taasisi anayopita? Wengine muda ni mali na tunazo ofisi zetu pia nazo zina viyoyozi kama za hao bank tellers wenye nyodo na hata kama hazina viyoyozi zinalipa vyema kuliko visenti vyao uchwara na bado tunawaletea biashara na hatuna nyodo. By the way ni miongozo ya bank gani inaagiza ili upate huduma nzuri (ambayo ni haki yako) ni lazima uwe na urafiki na hao mahousegirl wao (bank tellers sijui)? Nakosa muda hata wa kumpigia mama mzazi nianze kupoteza muda kujipendekeza kwa KIMA ambaye hana adabu na bila mimi hana sababu ya kuwepo hapo alipo? Wajiheshimu na kuheshimu wateja bhana, heshima kitu cha bure na kwenye kazi kama zao ni kitu cha LAZIMA hata kama ana ugomvi na bwana wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa kupendeza tu hawajambo,jamaa wana nyoosha nguo acha kabisa.Wale jamaa ndivyo walivyo hujiona Wana maisha mazuri sana kumbe hawana mbele wala nyuma.
Huwa wanakariri kwa kumuangalia mtu physically kumbe hawajui watu wengine hawapendi promo.
Hakuna kitu Kama hicho hao wanafanya biashara na mkopo ni haki yako Kama una vigezo.Kama ni mfanyabihashara na mikopo unachukua bank husika lazima uwe na urafiki nao. Bila ivyo kufanikisha ishu za mikopo inakuwa ngumu sana,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa watu wa benki Wana umuhimu wakati Mimi ndio nawapelekea pesa zangu hao wanazalishia.Kufahamiana na watu muhimu sana. kuanzia Bank, Police, Mahakamani na Hospitalini. ukiweza kutengeneza network kwenye taasisi hizo zote...unakuwa salama bin salimin...
Yaani wewe jamaa una akili Kama zangu.Sasa unafikiri kila mtu ana muda wa "kufahamiana" na mtoa huduma wa ofisi wa kila taasisi anayopita? Wengine muda ni mali na tunazo ofisi zetu pia nazo zina viyoyozi kama za hao bank tellers wenye nyodo na hata kama hazina viyoyozi zinalipa vyema kuliko visenti vyao uchwara na bado tunawaletea biashara na hatuna nyodo. By the way ni miongozo ya bank gani inaagiza ili upate huduma nzuri (ambayo ni haki yako) ni lazima uwe na urafiki na hao mahousegirl wao (bank tellers sijui)? Nakosa muda hata wa kumpigia mama mzazi nianze kupoteza muda kujipendekeza kwa KIMA ambaye hana adabu na bila mimi hana sababu ya kuwepo hapo alipo? Wajiheshimu na kuheshimu wateja bhana, heshima kitu cha bure na kwenye kazi kama zao ni kitu cha LAZIMA hata kama ana ugomvi na bwana wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua umeniboa mkuuNilienda kuhudumiwa huku mzungu mwanaume akiwa nyuma yangu, muda wote mhudumu katulia nilipofika kaniambia mpishe kwanza huyo mzungu alafu utafuata. Nilimpisha ila nilikasirika sana. Baada ya kunihudumia nikashukuru kwa sauti kubwa " Asante kwa Customer care nzuri " hakuitikia ila alibaki ananiangalia tu.
Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Unajua umeniboa mkuu
Kwa nini ulimpisha sasa ungekomaa ukakaa pale pale
Tatizo lako wewe hujawahi kusafili, kuazia ulipo fungua akaunti unahudumiwa na tawi hilohilo hadi unazeekee hapo,je kwa sisi wafanyabiashara tunaosafili mikoa mitatu ndani ya wiki moja,unakutana na wahudumu wa matawi tofauti tofauti,hapo mleta uzi alitaka kueleweshwa.Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
hyo tips ni rushwa! kwa kifupi we unahonga ili update Huduma nzuri.Hahah...unachosema ni kweli kabisa. hata mimi ndo utaratibu wangu. kila Bank ninayoenda lazima ni-recruit marafiki na tips za hapa na pale. yaani kama naenda Bank nampigia simu ananijazia bank slip na mimi naenda kumalizia signature. mpaka branch manager wanakuwa washikaji kwani nilikuwa nawatoa tips. sometimes nilikuwa nampigia manager achukue hela kwenye A/C yangu ampe teller aniletee ofisini......ukiwajuana na watu raha sana...
Kusafili=kusafiriTatizo lako wewe hujawahi kusafili, kuazia ulipo fungua akaunti unahudumiwa na tawi hilohilo hadi unazeekee hapo,je kwa sisi wafanyabiashara tunaosafili mikoa mitatu ndani ya wiki moja,unakutana na wahudumu wa matawi tofauti tofauti,hapo mleta uzi alitaka kueleweshwa.
Mteja ni Mteja tu ndio maana wahudumu wanapigwa Shule na Kuna Ethics za Kazi kila Kada na Ethics zake ulisha wai ona Mteja akifundishwa namna ya kutaka huduma?Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Hata wewe unachoandika hapa naona blah blah na kuleta dharau za mishahara ya watu. Wewe vipi unalipwa bilioni kwa mwezi?Mteja ni Mteja tu ndio maana wahudumu wanapigwa Shule na Kuna Ethics za Kazi kila Kada na Ethics zake ulisha wai ona Mteja akifundishwa namna ya kutaka huduma?
sasa we nnacho ona apa unaleta blah blah na kujisifia unafahamiana sijui mpaka na Walinzi What for now?
Mteja mmoja (unsatisfied) tu anatosha kukuharibia biashara ambayo una (satisfied customers 100) ukawapoteza wote hata kama walikua wanafamiana na wafanyakazi wa Kampuni yako + Babu yake Branch Manager na CEO
All in All Tz hatuna Customer Services in Most of Cases Ukweli ndio uo watu wanajishaua wakat nshahara wenyewe laki tano
Wewe kila siku unatumia huduma za branch hiyo hiyo moja?Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?