EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,305
- 20,945
Safi sanaKuna vitu nilienda kulipia manispaa ya kinondoni, ss ndani mule kuna crdb, basi nikakaa foleni wee kuja kutahamki kumbe system imegoma transfer hazifanyiki basi huyooo kwa uzoefu wangu mdogo nikaenda kwa wahasibu nilipie kwa cash, wakanijibu kistaarabu kwamba hawawezi kupokea cash mpaka bank wawataarifu, nikarudi bank nikaingia na kumwambia 'bi teller', waambieni basi kule watupokelee cash...weweee alivyonijibu kwa nyodo na dharau eti 'nani kakupa ruhusa kuenda kule'...mama mama mama wee kilichomkuta naona aliniota usiku, nilimbadilikia ghafla nilimfokea km mbwa nikamwambia hela yangu ndo inakuweka hapa so uwe na adabu nikampaka vzr sana alinywea km mchicha uliochemshwa!
Wapuuzi wengi sana humu.Wewe kila siku unatumia huduma za branch hiyo hiyo moja?
Mataga mkubwa we
Mbona mimi teller hasa wa kike huwa wanizongania, utasikia ukija unyooshe kwangu usiende kwa fulani.Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Kumbe unamfahamu na wewe safiKuna dada mmja yupo NBC iringa
Bonge mweupe hivi
Yupo vizur mno namkubar sana
Her name is T......Kumbe unamfahamu na wewe safi
Ana wezere?Kuna dada mmja yupo NBC iringa
Bonge mweupe hivi
Yupo vizur mno namkubar sana
Utakuwa na mipango ya wizi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah...unachosema ni kweli kabisa. hata mimi ndo utaratibu wangu. kila Bank ninayoenda lazima ni-recruit marafiki na tips za hapa na pale. yaani kama naenda Bank nampigia simu ananijazia bank slip na mimi naenda kumalizia signature. mpaka branch manager wanakuwa washikaji kwani nilikuwa nawatoa tips. sometimes nilikuwa nampigia manager achukue hela kwenye A/C yangu ampe teller aniletee ofisini......ukiwajuana na watu raha sana...
Hahahaha Safi sana huwa wanajiona maisha wameyapatiaKUNA SHEM WENU YUPO AZIKIWE, ALIKUWA MSTAARABU MNO, ILA MWAKA MMOJA TANGU AANZE KAZI CRDB ALIKUWA NA TABIA MBAYA YA KUBINUA MIDOMO, NIMEWAHI MCHAPA KOFI KAMA MARA 3 HV, AKAACHA HYO TABIA..
Huyu mpaka siku wamipige hela au majambazi wamvamia ndio ataacha urafiki na hao watuNo matter what Effective and Satisfactory Customer service ni Muhimu sana achana na Kujuana na walinzi na mambo ya mishahara
Nasikia wanawake mnapenda zaidi muhudumiwe na mtumishi wa kiume, sababu wanawake kwa wanawake hawapendani?Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Ukisoma michangi ya baadhi ya watu humu utagundua kwanini Tanzania inazalisha machawa wengi hivi. Yaani kupata huduma ambayo ni haki yako hadi ujipendekeze.Hakuna kitu Kama hicho hao wanafanya biashara na mkopo ni haki yako Kama una vigezo.
Hata wao pia Wana shida ya kupata wakopaji ili wajiendeleze bila hivyo watalipana vipi mishahara
Yeah wabongo hawajui haki zaoUkisoma michangi ya baadhi ya watu humu utagundua kwanini Tanzania inazalisha machawa wengi hivi. Yaani kupata huduma ambayo ni haki yako hadi ujipendekeze.
Ni kwamba wewe kila unapoenda unafahamiana na wahudumu wa bank? Sikia unaweza ukafahamiana na wahudumu lakini haina umuhimu .wahudumu wengi wa bank hawana Customer care huo ndio ukweli wana majibu ya karaha. Na wewe unayesema unafahamika si kwa vile unapata huduma za bank hapo hapo unapoishi let say unaishi Moshi mjini unapata huduma za kibenk Nelson Mandela Nmb watakufahamu ukisafiri ukienda Mwanza utatafuta ufahamike kwanza? Mimi kuna siku nimetoka Moshi nimeenda Dodoma nilivyofika Dom nikaenda Nmb Bank kuchukua fedha kwenye ATM kadi ikamezwa ilibidi kesho yke niende bank kufatilia nikamkuta jamaa flani nikamueleza shida yng akanikalisha muda mrefu sana bila kunisaidia , nilivyoona hivyo ilibidi nimfate mhudumu mwingine huyu alinijibu jibu baya sanaPamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
They dont know what They are doing.Ni kwamba wewe kila unapoenda unafahamiana na wahudumu wa bank? Sikia unaweza ukafahamiana na wahudumu lakini haina umuhimu .wahudumu wengi wa bank hawana Customer care huo ndio ukweli wana majibu ya karaha. Na wewe unayesema unafahamika si kwa vile unapata huduma za bank hapo hapo unapoishi let say unaishi Moshi mjini unapata huduma za kibenk Nelson Mandela Nmb watakufahamu ukisafiri ukienda Mwanza utatafuta ufahamike kwanza? Mimi kuna siku nimetoka Moshi nimeenda Dodoma nilivyofika Dom nikaenda Nmb Bank kuchukua fedha kwenye ATM kadi ikamezwa ilibidi kesho yke niende bank kufatilia nikamkuta jamaa flani nikamueleza shida yng akanikalisha muda mrefu sana bila kunisaidia , nilivyoona hivyo ilibidi nimfate mhudumu mwingine huyu alinijibu jibu baya sana
Ilinibid tatizo dogo niende kwa branch manager........
Ni wababaishaji sana ....They dont know what They are doing.
Sasa hivi tupo kwenye dunia ya ushindani hao bado wanafanya kazi kimazoea utadhani bado tupo kwenye enzi ya Mwalimu Nyerere ya sera ya ujamaa.
Mteja anayekufanya ulipwe mshahara unamuwekea maringo,unamjibu nyodo as if benki iko moja tu Tanzania nzima