Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bas kati ya post zako zote nilowah kukutana nazo hii ya leo imevuruga moyo wangu[emoji3] sijui kwann ila ndo hivyo,, guess what next LOl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…