Jamani[emoji849][emoji849]
Mshana kwa sayansi yako ile nyingine uliyostaafu? Hiki ni kiumbe gani? Physically hakipo hiki kiumbe, je kwenye ulimwengu ule mwingine kiumbe hiki kipo?
Ndio unachowaza hiko kila saa. Jamaa inaonekana "u empty" kabisa kichwani mwako.Akikunyima mbususu ndani ya wiki of dating my bro kaa ukijua hakupendi