MUHIMU```
[emoji654]Kuna siku marafiki tutatengana[emoji174] hatutaonana tena wala kuwasiliana.[emoji181]
[emoji654]Wengine umri utakuwa umeenda[emoji803] sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.[emoji22][emoji27]
[emoji654]Tutakumbuka[emoji144] tulivyokuwa tunachat[emoji181] tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana [emoji173]na kushirikiana[emoji133] tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu[emoji123] tukikimbizana[emoji126] huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.[emoji174]
[emoji654]Labda bado tutakuwa na picha [emoji185]za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.[emoji144][emoji187]
[emoji654]Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa[emoji117][emoji130]?"
[emoji654]Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao" [emoji173][emoji173][emoji173][emoji182]
[emoji654]Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu![emoji131]
[emoji654]Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki [emoji127] [emoji126][emoji125] [emoji132] [emoji130] na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.[emoji144]
[emoji654]Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.[emoji173][emoji173]
[emoji654]Onyesha upendo [emoji173] na moyo[emoji173] wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.[emoji179][emoji182]
[emoji654]Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako[emoji134]
[emoji654]Tunza picha zake kwa bidii[emoji186][emoji185]
[emoji654]Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo [emoji173]ni kitu cha thamani sana!![emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji654]
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati [emoji559]
vizuri. [emoji182]
[emoji654]
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema [emoji175][emoji182][emoji254][emoji173][emoji253][emoji177][emoji179][emoji176][emoji257][emoji255][emoji253][emoji259]
Sent using
Jamii Forums mobile app