MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,600
- 149,992
nateseka we acha tu....
Jamani ulimaliza keki yote siku moja? Havijabaki hata vichengachenga?Nimekutafuta sana tarehe 27. Nikanunua keki kuuuubwa halafu ukaingia mitini imebidi nile pekeangu tu!