ORODHA YA WANAONIFAIKA NA KEKI YA TAIFA (KAMA HAUPO HAPA WE NI KUNGUNI WA KAWAIDA MTAANI KWA MUJIBU WAO AU NYANI KABISA)
1. Samia Suluhu Hassan
2. Dr Isdory Mpango
3. Tulia Ackson
4. Kassim Majaliwa
5. Jaji Mkuu
6. mkuu wa majeshi
7. Mawaziri wote
8. Manaibu waziri
9. Wabunge wote
10. Wakuu wa mikoa wote
11. Wakuu wa wilaya
12. Makatibu wakuu wote
13. Watoto wa Marais walioko madarakani na waliostaafu
14. Wake wa marais wastaafu au waume ZAO hata waliostaafu
15. Ma RAS wote
16. Ma DAS wote
17. Wakurungenzi wote
18. Mabalozi wote
19. Wakuu wa vitengo vya majeshi
20. Magavana wa BENK kuu waliopo na waliostaafu pia na familia ZAO
21. Wakuu wa forodha, na wamamlaka za Mapato
22. Wakaguzi wa hesabu za SERIKALI
23. Mahakimu wa mahakama kuu na rufani
24. Walinzi wa Marais
Usitegemee hawa na familia ZAO wakalia Mtaani Kama wewe
Kwanza
A. Mikopo umizia haiwahusu
B. Mafuriko hayawahusu
C. Njaa haiwahusu
D. Ada za watoto haziwahusu
E. Kula au njaa kwao si shida
F. Safari ZAO ni VIP
G. So rahisi kumkuta selo au kukuta mwanaye huko
H. So rahisi kukosa ajira au mtaji wa kufanya mambo Yao kwa watoto wao
Ukijumlisha hawa watu wote hawafiki milion 3 Ila ndo wanabugia keki ya Taifa Hatari sana
Orodha waweza ongeza zako
Sent using
Jamii Forums mobile app