Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

😳😳😳😳😳

Screenshot_20231117_073643_Telegram.jpg
 
Black hole .....labda n uchorocho wa kutoka eneo moja kwenda lingine😀😀😀.
Yawezekana aisee.

Black hole mh! Kubwa ya kuweza kumeza Galaxy yetu hii mara 10,000? Sidhani!

Yawezekana lakini. Au kuna kitu hapo ambacho akina Hubble na James Webb bado hawawezi kukiona. Maajabu ya uumbaji!

Na wewe mjukuu ni mdau wa haya mambo eeh!? Safi sana! 👏
 
Nayapenda sanaa niliwai kukutana na photographers wa kichina walikuja kupiga picha huku nikaomba na mm nione angani pazuri sanaa.
 
Back
Top Bottom