Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,569
- Thread starter
- #194,681
Uzuri wake huwa anapiga kote kote hachagui ali mradi anapata ugali. Tumvumilie! 😁huyu naye tushamzoea na upumbavu wake wa vijimaneno
kuna wakati inampasa atulie tu,si lazima kuandika kila kitu
afiche upumbavu wake
Kaka wakishaitana hizo rungu utakazopewa Faili la Karate lazima likorapt.😂
ila ni TOPE
Loveness yupi?😂😂😂😂😂Shepu kwiooo na sasa ivi kuna loveness mtakoma.
Kimba ni lile lile tu 😁😁😁🏃🏿♂️
Wanasema kuny.a ni starehe...Kimba ni lile lile tu 😁😁😁🏃🏿♂️