Li zuri asee 😍😛
Wanawake wenye hela nyingi ni wa kuogopa kama ukoma.Jimbo liko wazi
View attachment 2814177
Wewe Sky wewe!
Bi Tozo anatuletea hii hivikaribuni ili tununue V8 tatu za wastaasfu na mbili za wake zao.Wewe Sky wewe!
Sky natamani hapo ulipo kuwe ni Usiku kama hapa nilipo ili nikutongozeBi Tozo anatuletea hii hivikaribuni ili tununue V8 tatu za wastaasfu na mbili za wake zao.
Umekunywa vitochi vingapi mpaka unatamani kutongoza bibi zako?Sky natamani hapo ulipo kuwe ni Usiku kama hapa nilipo ili nikutongoze
Bibi mwenye chura yak!,halafu hiyo kitu huwa haizeeki.Wewe utazeeka sura ila nikiingiza hapo unanilaza usingizi mnono kama kawaida.Unekunywa vitochi vingapi mpaka unatamani kutongoza bibi zako?
Mwanamke kama hawezi kujishusha na kumpa mwanaume heshima yake as a man/leader, huyo mwanamke ni wa kuogopa pia!!Wanawake wenye hela nyingi ni wa kuogopa kama ukoma.
Kuna raha yake ku date na mwanamke uliyemzidi.
1. UMRI
2. KIPATO.
MARK MY WORDS![]()
😁😁😁 Kwa hiyo ukishakuwa wa hovyo kinakuja tu chenyewe? Halafu nilikuambia mimi sio kijanaKijana wa hovyo huwez kosa hiyo kitu![]()