dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
Yaani hilo kabila lingekuwepo Tanzania ningekuwa nawatembelea ndg na jamaa zangu kila siku.-Kabila la Ovahimba ambalo linapatikana kaskazini mwa nchi ya Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima na baraka kutoka kwa mgeni.
-Mgeni wa kiume anapowasili kwa siku ya kwanza huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa. kama kwenye familia aliyofikia mgeni hakuna mwanamke ambaye hajaolewa basi wanaume wa familia hiyo hupiga kura ili mmoja wao kumuachia mgeni chumba chake alale na mkewe.
-Iwapo kwenye familia yupo mwanaume mmoja (baba wa familia) itabidi amuachie chumba chake mgeni alale na mke wake. Asubuhi huwa Kuna ukaguzi Kama alifanya naye Mapenzi ikibainika hujafanya Mapenzi na mgeni unarudia kulala naye siku ya Pili.
#NJEyaBOX.
Jr[emoji769]
Mambo ya Tanga haya
Hapo akitoka wakati akiwa anatembea huko njiani atakuwa ananukia kama pilau [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Atomic bomb factory[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1451721
Wengine hadi fuu fu f 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1451969
Machoni kama watu, moyoni hawana utu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1451969