Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1699191113916.jpg
 

View: https://youtube.com/shorts/WF2ZotrcOIU?si=5JZ0bgiAdpKvAmke

What's your choice...!???
A....

B.....

C....!????

Hapo kuna sampo ya kinyamwezi, kinyakyusa na kitanga.

Aahahahhaaa nimechekaaa, kuna mtu kanijia inbox nichambue yupi ni yupi.....

Sampo ya wanyamwezi utulivu sifuri hekaheka na vurugu kama zote 😁😁😁 Anauhimili mzigo wake.

Sampo ya Tanga anacheza kwa staha na adabu....😊😊

Sampo ya wanyakyusa mzigo umezidi uzito kwenye mhimili wake... hata kuzunguka kwa tabuuu...😄😄
 
Back
Top Bottom