Dunia na Mwezi zinavyoonekana baada ya kupigwa picha na chombo cha anga za mbali Cassini... Wakati hii inapigwa chombo hicho kilikuwa kinaizunguka sayari ya Saturn umbali wa zaidi ya kilomita millioni 900.. Mimi na wewe tupo hapo kwenye nyota hiyo kubwa...