Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,306
- 829,363
- Thread starter
- #191,741
Kwa kweli kuna mambo yanatia kinyaa, mpaka unajiuliza wanaotunga hiyo miswada ni watanzania kweli?! Wana akili timamu?! Hivi hawa jamaa wanawafikiria kweli watanzania wengine wanaovuja jasho huku barabarani na bado maisha yao hayaeleweki au ndio wanaangalia shibe zao tu!!
Matusi nayotukana moyoni sio poamaumivu ambayo huwezi mwambia mtu

Matusi nayotukana moyoni sio poa 🤣🤣🤣
Omujungu 🏃🏿♂️