Si ajabu umepanga kuja kuniroga. Wachawi ni watu wa hovyo sana aisee! 🚮😁😁😁
Sasa unataka tusipumue? We jamaa vipi? 😁😁😁😁
Fearfully and wonderfully made!
Yani kiatu cheupe kama hivyo mtu anakukanyaga kwenye daladala maumivu nayoyapata hayaelezeki[emoji16][emoji38]