Lover
SDY ya uhakika...βΊοΈβΊοΈπ€π€
View attachment 2795806
Kabisa yaani wana utamu wao wa pekee. Hawa. Alafu yule naniliu naomba unipe updates zake kdg. πSDY ya uhakika...
Soft life yaani....hapa ni kula maisha tu. Tena uwe na vihela aisee hufi mapema π
View attachment 2796141
Huyu jamaa naamini ana hela kuliko hata bakhresa mark my words mkuu yaani ni mwizi lowkey yuko kama Rostam madili ya chini chini tu yaani. Mpaka akimaliza muda wake sijui itakuwa kachota trillion ngapi asee. Paah esther luxury, namungo fc, appartments, mashamba ndo usiseme, zile za mikopo yaani paah.