Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231028_064852_Instagram Lite.jpg
 
Serikali imesikia kilio chetu mloganzila hoyeee😂😂😂😂...ila kizazi hiki mambo sio mabaya kivile sema mmetukomalia tuuu.
Najua.

Nakuzingua tu...

Mwenyewe nilishawahi kuwa na pisi ya Kichaga iliyofungasha hatari labda kukuzidi hata wewe..so najua 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom