Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

75824e39-bc18-4875-b704-59640c755d47.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nibariki wapi?

Huoni ambavyo huwa napambana mjukuu. Mkianza kubebishana humu huwa mpaka nachanganyikiwa yaani...ila sasa nitafanyeje?

Na huyu sijui ana unafuu kuliko li Fox hata sijui yaani. Unafanya kazi yangu ya kukuchunga kuwa ngumu hatari
Hahaha babu hakuna mwenye afadhali hata mmoja
 
Back
Top Bottom