"Pesa kubwa niliyowahi kuhongwa na mpenzi wangu ilikuwa milioni 200, nilihongwa na mpenzi wangu ambaye alikuwa anaishi Uingereza. Lakini sasa hivi nipo tayari kuolewa hata kwa elfu 20 kwasababu nimetumika sana"
"Nipo tayari kuolewa na mtu yoyote, awe mzee au kijana, lakini shida niliyonayo ni kwamba hata hao ninaowahitaji sasa hivi siwapati
eeh Mungu nijaalie ndoa"-