Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ni kweli. Madogo siku hizi hawana siri. Imagine siri za shotgun zinakuja kubwagwa selfika dah! πHahaha............sio kwa Wanawake wa sasa Mkuu, ndiyo maana Wazee tumeamua kujificha huku shambani kukwepa aibu ndogo ndogo za kuambiwa tunamiliki shotgun bila vibali π€ͺπππ
Baada ya kuiona hii video nimesali Rozali kuwa Bwana anisaidie kunilindia Pension yangu, maana mwenyewe siwezi japo nimezeeka πWazungu huwa hawajali...japo sisi kwa kweli inapendeza angalau akiwa nacho angalau ka kukalia!
View attachment 2778910
Kwa kweli wamekosa Vifua, siku zote huwa tunasema mambo ya Sirini yabaki sirini wao wanayaleta Nje πNi kweli. Madogo siku hizi hawana siri. Imagine siri za shotgun zinakuja kubwagwa selfika dah! π