Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,173
- 37,344
Depal this could be us🤣
Depal this could be us[emoji1787]
Walao nimejitahidi kuangalia mbili tatu lakini za huyu jamaa sijawahi ona kwakweli
Aongeze na hii
Hapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya 🤪🏃🏃🏃
huyo hata hana mvuto shepu yote imefunikwa na mafutaHapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya 🤪🏃🏃🏃
Toka wawafungie selfikaHapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya 🤪🏃🏃🏃
napenda sana hizi memes😂Hahahaaaa
nilivyoanza kuona comment yako, akilini ikanijia pengine ni issue za weed/ shisha. 😂😂
Kumbe ni wewe na msukuma mwenzako mnapiga maphoto
Kweli wametuweza, yaani saivi nashinda Siasani na huku tuToka wawafungie selfika
Siku hizi mpaka huku unafika 😂😂😂😂
Mods hoyeee
Na sisi Wazee tusio na nguvu inaweza kuwa tiketi ya kwenda kwa Sir God, maana hapo lazima Presha na Kisukari kipande 🤪🏃🏃huyo hata hana mvuto shepu yote imefunikwa na mafuta
Mkome 😂😂Kweli wametuweza, yaani saivi nashinda Siasani na huku tu
Ongea basi na yule kaka yako Mod aturudishie Jukwaa letu.Mkome 😂😂
Hiyo kazi siifanyi 😂😂Ongea basi na yule kaka yako Mod aturudishie Jukwaa letu.
Waambie Mods kuwa Tumekosa Sisi, tumekosa sana😅
Kwani hutaki hela ya kwenda Kutalii Serengeti mwezi December?Hiyo kazi siifanyi 😂😂
Weka SDY zinazoeleweka siyo hizi za Ngarenaro na Kibororoni 😬. Mbona mimi huwa nakuwekea vimbaumbau slim thick vikali? Unafikiri vimbaumbau vilivyokongoroka na kubakia mifupa mitupu sivijui? 😳😳😳😬😬😬