I will do so too
Sijambo babu, huyo mzabzab nipo nae mbali sana,,,,,hanigusi.
Kumbe ndiyo hivyo[emoji846][emoji846]
Siyo kweli. Mbeya hips zipo na akili zipo sema tu wakorofi. Huko kwingine hips hakuna na akili zipo za kutafutia pesa tu na hata kuua waume zao ikibidi....
Kuna mzee anasemaga ana 72yrs[emoji23][emoji23]