Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1696414409013.jpg
 
Mshana Jr ameanza kuuharibu huu uzi. Ni uzi wake lakini naona anataka kuugeuza kuwa uzi wa uchawi na motivational quotes.

Uzi wake mwingine (siukumbuki vizuri) pia ulikufa mpaka ukafungiwa. Na huu nadhani anataka kuuharibu makusudi.

Tunakuja hapa kurelax na memes na vicheko lakini unakutana na mambo ya uchawi. Mpaka mood inakata!

Mshana Jr tuachie uzi wetu. Kaanzishe uzi kamili wa mambo ya uchawi huko na hizo quotes zako za motivations...
Kama unaona ni shida kaanzishe mwingine ambao utazuia mambo ya kichawi yasiingilie meme za kufurahisha.asante
 
Na wewe ni mchawi?

Kubalini kushauriwa jamani. Na siyo kila kitu ni ugomvi wala kupaniki.

Mnaharibu uzi!

Ila kama mnaona ni sawa kurundika picha za uchawi kwenye uzi wa furaha kama huu basi ni sawa.

Ni uzi wenu endeleeni!
Sijapanik brother labda wewe ,kuna wengine hawaelewi kama ni uchawi mpaka waambiwe .kwa upande wangu sijaona shida kuweka wazi mambo yalivyo ili nisiendelee kuwa gizani.yawezekana wewe unayajua mambo hayo yalivyo ndio maana hutaki na sisi tusiojua tuyajue😫.kwa upande mwingine nlishakutana na vitu na vingine nlishaviona kwenye uzi huu .acha Mambo yawekwe hadharani bro.
 
Mshana Jr ameanza kuuharibu huu uzi. Ni uzi wake lakini naona anataka kuugeuza kuwa uzi wa uchawi na motivational quotes.

Uzi wake mwingine (siukumbuki vizuri) pia ulikufa mpaka ukafungiwa. Na huu nadhani anataka kuuharibu makusudi.

Tunakuja hapa kurelax na memes na vicheko lakini unakutana na mambo ya uchawi. Mpaka mood inakata!

Mshana Jr tuachie uzi wetu. Kaanzishe uzi kamili wa mambo ya uchawi huko na hizo quotes zako za motivations...
Mshana Jr tuachie uzi wetu. Kaanzishe uzi kamili wa mambo ya uchawi huko na hizo quotes zako za motivations...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom